Maswali Yanayojirudia

 • Je, inagharimu pesa yoyote kujiunga na Finbet?

  Hapana. Kufungua akaunti Finbet ni bure.

 • Ni kiasi gani cha chini na cha juu kabisa unaweza kubeti?

  Kiasi cha chini ni KSh 10. Kiasi cha juu cha kubeti: - KSh 1000 kwa beti ya dakika-1 - KSh 2500 kwa beti ya dakika-3 - KSh 5000 kwa beti ya dakika-5

 • Ni kiasi gani cha chini ninaweza kuweka kwenye akaunti?

  Kiasi cha chini unachoweza kuweka ni KSh 100. Hakuna kiwango cha juu kinachokuzuia kuweka pesa.

 • Nini kiwango cha chini na cha juu cha kutoa pesa?

  - Kiwango cha chini cha kutoa pesa kwenye akaunti yako ya mobile money (yoyote) ni KSh 100 - Kiwango cha juu cha kutoa pesa kwenye akaunti yako ya mobile money ni – KSh 140,000

 • Ninaweza kufungua akaunti nyingi za Finbet?

  Unaruhusiwa kufungua akaunti moja tu kwa kila namba moja ya simu.

 • Kuna ada yoyote ya kutolea pesa?

  Gharama zilizopo ni za kwenye mtandao wako.

 • Inachukua muda gani kushughulikia pesa nilizotoa nizipate?

  Maombi yote ya kutoa pesa yanakaguliwa kwanza kabla ya kuruhusiwa. Tafadhali subiri mpaka masaa 24 ili kupokea pesa yako.

 • Je, ninaweza kusitisha beti zangu?

  Hapana, ukishafungua beti huwezi kuisitisha.

 • Je,ni lazima nilipe kodi kwa ushindi zangu?

  La,ile kodi asilimia ya 20 inatolewa kutoka ushindi zako na inalipwa kwa niaba yako

 • Do I have to pay taxes on my winnings?

  No. The 20% winning tax is automatically deducted from your payout and paid on your behalf.